Chenge kumponza Makinda

Chenge kumponza Makinda

Kwahiyo baada ya uchunguzi na kuona kuwa Serkali Yao (au taasisi ya Serkali Yao) ilihusika wakaamua kufunika kombe mwanaharamu apite! Na bado mnawashabikia, Kama walikuwa na nia si wangewatoa hao waliotoa hongo ili waunganishwe na wapokeaji katika mashitaka. Hapo ndio mashitaka ya akina chenge (ninaamini hayuko pekee) yangesimama!

kwanza weka akilini kuwa BAE Hawakuibia serikali ya Uingereza,ilikuwa ni moral ethic iliyowasukuma kufanya uchunguzi baada ya kuona dubious dealing against nchi masikini kama Tanzania na nyinginezo.
Pili ile ilikuwa dealing ya taasisi si individual,na serikali ya Uingereza ilithubutu kufanya uchunguzi nchini kwao kwa sheria zao dhidi ya kampuni yao,wamechunguza na kujiridhisha kuwa akina Chenge ni collaborators.We ulitaka Chenge akashitakiwe uingereza kwa kosa gani alolifanya huko?
Wameiwajibisha BAE na wakakubali kurudisha ziada
waliyoswindle ambazo mnaziita change ya rada.
Wao wamerudisha nyie walioshiriki kuliibia
taifa mmewafanyaje?Mnamuita muadilifu na mnampa vyeo nyeti,SHAME ON MAKINDA! na wateteza wa Chenge.
Binadamu anatakiwa awe na uoga na aibu kama check and balance ukikosa utakuwa kituko,kama fast jet bila uoga wala aibu akamtetea Chenge kuwa hana kesi ya kujibu,Makinda naye hali kadhalika anadai ni mwadilifu.
They both have one thingin common vituko katika uongozi wao kwa kukosa uoga na aibu.Tafakari.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
WALAANI WATAWALA WAKE
 
cencer09
Kuna kitu unachotakiwa kujua katika biashara ya kimataifa ya silaha, rada ni sehemu ya biashara hiyo. Pili BAe ni taasisi ya Serkali ya Uingereza na wala huwezi kuitenganisha. Kabla ya mauzo BAe walipaswa kupata ruhusa ya Serkali ya Uingereza. Na Kama ulifuatilia suala hili tangu mwanzo Bi Clare Shorts aliyekuwa Waziri katika serkali ya labour alijiuzuru baada ya Serkali yake kutokuwa na moral support ya kuzuia wizi huo. Kumbuka huyu mama alikuja hadi huku na kukutana na Rais Mkapa kujaribu kuzuia na bahati mbaya Rais Mkapa kwa maelezo yake (yaliyoandikwa hadi kwenye vyombo vya habari Uingereza)hasingeweza kusimamisha kwa sababu alipoingia madarakani alikuta mchakato umekamilika na mikataba imeshakubalika. Lakini pia aliwachallenge waingereza kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa ya kuzuia rushwa na ufisadi watoaji pia wanapaswa kuwajibishwa na jivyo uingereza iwawajibishe watoaji. Serkali ya Uingereza mnayoisifia sasa ilikataa mpaka bi Clare akajiuzulu. Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa Serkali ya Uingereza haina morals za kudai wao walichunguza na kuchukua hatua. Tofauti ya hii hatua waliyochukua na ile ya Serkali yetu kwenye ufisadi wa EPA ni upi pale Serkali yetu ilipowasamehe 'wezi' hati baada ya kurudisha pesa walizoiba. Kwa nini tulalamikie Serkali yetu lakini waingereza tuwaone wako sahihi! Double standard.
 
hapa mtoa uzi(mada) kama umeifuatilia vizuri amezungumzia kitendo cha Makinda kupindisha kanuni na kumteua Chenge kua
mwenyekiti wa kamati ya Bunge.
Pili kudeclare kuwa Chenge ana high credibility.
Tatu mkuu tunapozungumzia mustakabali wa nchi yetu na wanasiasa wetu na makosa ya viongozi wetu double standard na Uingereza inatoka wapi?
At least wao baada ya kurealise makosa yao wameibana BAE na kurudisha kiasi cha pesa kilichozidi serikali yetu imefanya nini kuhusu washiriki walioshiriki kutuhujumu?Narudia waingereza wamethubutu sisi je?
Tatu kwa hoja yako hiyo Chenge amekuwa na high credibility?Kumbuka mke wa kaisari hatakiwi kutuhumiwa.
 
Ninakuelewa sana. Nilikuwa najaribu kukuonyesha tu kwa maandiko yako kuwa waingereza siyo watu wa. Kutokea mfano kwamba wako credible katika suala hili. Walipaswa kulipeleka katika mahakama hapo ningeelewa. Lakini baada ya kugundua kuwa Serkali yao inahusika wakachomoa na kuweka mkataba ambao ulikuwa unafunga kila kitu kwa 'usiri'. Ingawa inasemwa lakini siyo kitu rahisi kuwatia hatiani hakina Chenge na wenzake bila ushahidi wa watowaji. Suala la chenge kuwa credible Hilo Mimi sijasema lakini ninaweza tu kuuliza ni kipimo kipi kinatumika kupima credibility ya watu. Sidhani Kama tuhuma tu zinatosha - ingekuwa hivyo sidhani Kama kuna mtu angesalia serkalini na mitaani!
 
nikweli huyu mama naye pia aweza kuwa fisadi kama kina chenge na huyo papa Rostam.
 
Ninakuelewa sana. Nilikuwa najaribu kukuonyesha tu kwa maandiko yako kuwa waingereza siyo watu wa. Kutokea mfano kwamba wako credible katika suala hili. Walipaswa kulipeleka katika mahakama hapo ningeelewa. Lakini baada ya kugundua kuwa Serkali yao inahusika wakachomoa na kuweka mkataba ambao ulikuwa unafunga kila kitu kwa 'usiri'. Ingawa inasemwa lakini siyo kitu rahisi kuwatia hatiani hakina Chenge na wenzake bila ushahidi wa watowaji. Suala la chenge kuwa credible Hilo Mimi sijasema lakini ninaweza tu kuuliza ni kipimo kipi kinatumika kupima credibility ya watu. Sidhani Kama tuhuma tu zinatosha - ingekuwa hivyo sidhani Kama kuna mtu angesalia serkalini na mitaani!

kumsafisha anayetuhumiwa ni mahakamani ambako hawawezi kwenda.
Uchunguzi wa SFO ulimbaini Chenge kuwa na akaunti ya pesa takriban dola milloni1,sheria hairuhusu kumiliki akaunti nje bila kibali cha benki kuu.
Tume ya maadili hakuorodhesha pesa hizo kwa hiyo amevunja sheria maana amekubali kuwa hivyo ni vijisenti.
Kumbuka hata ndani ya chama chao waliitwa magamba,mara mapacha watatu wakituhumiwa kukichafua chama chao.
Mkuu getstart usimuige mbuni kuficha kichwa mchangani wakati mwili unaonekana,Jamii zetu uongozi ni kama ufalme ukiingia kutoka mbinde.
Binadamu ni mtumwa wa dhamira yake,na kama inakutuma kuamini Chenge kwa sakata la rada anastahili kuongoza kamati nyeti Bungeni kwa sbb ana
high credibility basi nimesalimu amri
 
Cencer09 ninajua frustration ulizonazo. Je unajua kwa nini Chenge aliamua kuziita dola milioni alizokuwa nazo offshore bank ni 'vijisenti'? Ukipata jibu lake utaona ni kwa nini ni vigumu kumshitaki Chenge kwa kigezo cha pesa hizo nje na sheria ya Benki kuu!
 
Back
Top Bottom