Chenge akemea ufisadi

Hii ni ngoma ya kikubwa papa anataka kumumeza papa mwenzie ngoja tusubili
 
hatumiagi mambo ya kule arusha ,isije kuwa zimemzidiii nguvu
 
Mhhh!! Hata shetani akizeeka anakuwa malaika.!
Kama lowassa vile, mi nimeshakuwa na mashaka na watu wooooote ambao walibatizwa kuwa ni mafisadi na chadema, chadema siwaamini kabisa! Kama wamesema lowasa sio fisadi na wamewasaliti kabisa wale wapiganaji wao kisa kuwa na msimamo, hivyo yawezekana kabisa kiwa huyu jamaa sio fisadi kama wanavyosema chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…