Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,497
- 1,341
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania
Vijisenti vyenu warudishe BAE kama hawajavidisha kwani hawakuvimpa Chenge.Aturudishie vijisenti vyetu kwanza ndio tutaanza kumwelewa.
lakini jamaa si alishinda ubunge pale bariadi?? usishangae baadhi ya wanaoshangaa humu ndo walikua wpiga kura wakeNi mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania
Hehehehe drama kama bongo movie yaanNi mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania
Haha haha haaaaa haaaa ccm bana kwi kw kwi kwiNi mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania
Alikua location aki shoot movie/comedyNi mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania
Hahaaa kumzuia chenge kupata cheo nchi hii ni sawa na kuwazuia Messi Neymar na SuarezHahahaha hili jamaa sijui linatuoneje wadanganyika?
Haaaaaa baada ya hasira ulichukua hatua gn mkuumajuzi joka lilikuwepo pale villa park kirumba na family yake nikaliona alikichekelea goli la pili la yanga dhidi ya simba,hakika hasira yangu ilizidi mara mbili