Chengdu: Moja ya miji ya kisasa zaidi duniani

Unaiona dalili ya huyu mama kuachia madaraka 2030 ? Utasikia awamu yake ilianza 2025 ile 2021 watasema haikuwa yake alimalizia ya Magufuri
Katiba haimruhusu kuendelea
Labda abadilishe katiba ajiongezee miaka ya kutawala
 
Tatizo linaweza kuwa nini?
Greedy kwenye serikali za Kiafrika, kukosa uzalendo, kukosa uthubutu na mifumo ya hovyo tuliyorithishwa ambayo haiwapi power watu wenye vision
Maana mwanzoni shida ilikuwa ni elimu, sasahivi tuna Waafrika wengi tu walioelimika, ila sio kila aliyeelimika ana vision, pia wenye vision wenyewe hawana power. Inakuwa ngumu kuleta change
Hata South Korea miaka ya 1960s hadi 1980s ilikuwa na corruption ya kufa mtu. Nchi yao ilikuja kubadilika baada ya kupata viongozi wenye vision
 
Ali MUFURUKI Kwenye TednX Talk yake, Prof Lumumba wa Kenya Wame challenge sana Viongozi/Corruption kwenye Talks zao .

MUFURUKI Late anaenda mbali zaidi na kuargue Kuhusu Elimu yetu ,tunawezaje kucompete kwenye dunia ya kileo na ijayo ikiwa kitu pekee tunajivunia kwenye literacy Rate Ni WATU kujua/kufahamu kusoma na kuandika?

Higher Level Knowledge AND WORLD CLASS KNOW HOW'S, BADO TUKO FAR BEHIND
 
Back
Top Bottom