Ni sehemu gani hapa Dar kuna majengo ya kifahari na hiyo sehemu ukitoa herufi tano za mwisho unapata jina la chombo cha kupikia jikoni,na hilo ukitoa herufi nne za mwanzo unapata jina la msanii maarufu wa bongo movie..kazi kwenu the great thinkers!
Mikocheni
Miko => kapikie
Cheni => kamuangalie kwenye ma'move yenu ya kiswazi.
Una'nlipa shiing'ngapi?
Leta hard quiz bwanaa!
Huu ni mnafu-mboga ya majani umeleta.
Mikocheni
Miko => kapikie
Cheni => kamuangalie kwenye ma'move yenu ya kiswazi.
Una'nlipa shiing'ngapi?
Leta hard quiz bwanaa!
Huu ni mnafu-mboga ya majani umeleta.