mh! what???
As the names suggest...Nawezaje kumtofautisha web developer na web designer?
JIBU KWA HOJA.
Itakuwaje Kama Hakuna web designer wakati wakati Kuna web developer kwenye kampuni?As the names suggest...
Web designer -- Ana deal na frame/sketch ya web nzima, yaani how it suppose to look, functionalities zake n.k... yaani kuhusu ile idea nzima ya web
Web developer -- bring the idea of web designer into live, huyu ndo mgonga code, mtu ambaye anafanya kulingana na matakwa ya web designer..
Sent using Jamii Forums mobile app
keshasema apo designer hasa ni upande wa front-end, developer ni back-endInamaanisha Hakuna tofauti sio?
Aisee!!web designer sanasana atadeal na front-end. web developer anadeal na back-end. ila kimsingi ni watu walewale.
web designer sanasana atadeal na front-end. web developer anadeal na back-end. ila kimsingi ni watu walewale.
Web designer ni sawa archtect kwenye ujenzi. Web/App designer yeye kazi yake ni kuandaa prototype on how a website or app should look...Nawezaje kumtofautisha Web Developer na Web Designer?
JIBU KWA HOJA.
Hapa wewe umejibu kwa he has na umetoa folaaa.Web designer ni sawa archtect kwenye ujenzi. Web/App designer yeye kazi yake ni kuandaa prototype on how a website or app should look...
Designer mara nyingi wanakua njema kwenye kutumia tools kama photoshop, illustrator, and most importantly, adobe xd au sketch!! Most cases hawako njema sana kwenye coding japo wanaweza kua na basics za html, css na kwa mbaaali JS.
Hawa designer pia wanagawanyika into two categories..
UX (user experience desgner) ambao wana deal na kuhakikisha wana design web/app ambayo haita mtumiaji..
UI (user interface) ambao wanadeal na kuhakikisha web/app inakia na muonekano mzuri uanzia wenye color, responsiveness mpaka navigation!
On the other hand...
Web developers hawa ni lazima wawe njema kwenye coding hasa kwenye html/css na languages kama JS, python, ruby etc (pamoja na frame/libraries zake).
Web developers wamegawanyika into three categories..
Kwanza front end developers ambao hawa wana deal na ku code muonekano wa nje wa website. Hawa ni lazima wawe njema kwenye html, css na JS (pamoja na atleast framework moja kama react library, angular au vue js).
Pili backend developers... Hawa hawako njema sana kwenye frontend languages ila wako njema sana kwenye ku design databases na kuhakikisha usalama wa website au app muda wote uko intact!!
Hawa lazima wawe njema kwenye language kama python, php, c++,java, ruby etc (sio lazima wajue zote ila inaeza kuwa moja au zaidi kulingana na mahitaji)!!
Hawa backend they are not good kwenye ku design muonekano ila they are well equiped with analytical and logical skills!!
Lastly ni full stack developers.. Hawa ndio funga kazi maana they know both backend and front end development...
Huu mgawanyiko huwezi kuukuta kwenye startups zenye limited capital, most cases utakuta kwenye makampuni makubwa na ambayo yako well structured kiuchumi na rasilimali watu!!
Done.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazingua mkuu ebo!