Umesahau mgeni kapewa gazeti asome wenye nyumba wanakula.- Paka yupo kwenye nyumba ya ndege
-Picha imegeuzwa chini juu
-Miwani ya huyo dogo inatofautiana size ya lensi
-birika inamimina chai pasipo kikombe chini
-lile jiko la moto ni la umeme ila ule unaotoka ni moto wa kuni
-kile kioo inaonekana kimemiss mshikio mmoja
-meza karibu na baba haina mguu mmoja
- baba(or whoever he is) anasoma gazeti juu chini
-binti anakoroga chai na kisu badala ya kijiko
wengine endeleeni
Nikweli kabisa maana hata vipande vya mkate na mkate wenyewe ni tofauti kabisaHakuna kilicho sawa
uko vizuri mkuu.Gazeti (juu chini)
picha ya ukutani(juu chini),
meza(haina miguu yote),
birika inamimina kwenye meza
Mshumaa upo plugged kwenye umeme
Nyumba ya ndege inameshikiliwa na waya kutoka chini
Gazeti (juu chini)
picha ya ukutani(juu chini),
meza(haina miguu yote),
birika inamimina kwenye meza
Mshumaa upo plugged kwenye umeme
Nyumba ya ndege inameshikiliwa na waya kutoka chini
Gazeti (juu chini)
picha ya ukutani(juu chini),
meza(haina miguu yote),
birika inamimina kwenye meza
Mshumaa upo plugged kwenye umeme
Nyumba ya ndege inameshikiliwa na waya kutoka chini