asante ... baba utafiti unasalimiwa huku kasema anapita atakuona kesho
Asante mwanangu miss chagga, umemsalimia lakini??
Mtoto wewe mpana mie hayo mengine sijasema kabisaaa miss chagga
Umenikumbush equation with three unknown.
nimeongezea nyama nimeona maneno yako hayatoshi
Hahahahaha haya msalimie sana shem wangu
eeeh ndiyo nini?
Ni hesabu za kutafuta values za unkown ( lets say x,y,z)
sasa unatafuta kitu hukijui utakipataje sasa?
Hasa ndo hapo tunatumia uchawi wa hesabu. Tuna pata.
mmh mi sipendi uongo uongo mimi jamani
Utaweza ku handle ukweli……?
naweza kuhandle kabisa mi uongo sitaki
Mbona umeambiwa ukweli umeukataa. Tofautisha kitu unachotaka kukisikia na ukweli.
nimekataa kwa kuwa ni uongo tayari