Chemsha bongo...

Chemsha bongo...

Dona Kantri

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
346
Reaction score
115
Mwalimu alisema:
laiti jana ingekuwa kesho leo ingekuwa ijumaa! Je mwalimu alikuwa akiongea siku gani?
 
Simple, hiyo siku lazima itakuwa kati ya J'tatu, J'nne, J'tano, Alhamisi, Ijumaa, J'mosi au J'pili.
BTW, muache jamani kutuletea maswali magumu ya kwenye simu
 
peleka majibu yako kwa hao clouds fm ulikosikia swali.
 
Mwalimu alisema:
Je mwalimu alikuwa akiongea siku gani?

Mzee Atom;
Let's try to use a similar analogue; kwamba kwa mfano leo ni Jumatano, ambayo jana yake ni jana, yaani Jumanne. Kwa hiyo kutokana na statement ya mwalimu kwamba laiti jana (JUMANNE) ingekuwa kesho (ALHAMISI) leo (JUMATANO) ingekuwa ijumaa! Kwa hiyo mwalimu anaongelea siku ya JUMATANO, (au leo by pure coincidence)
 
Nimekulewa sana kaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom