Chemsha Bongo

Bana eeh mi sitaki kuumiza kichwa ktk jukwaa hili, nimekuja kuumize mbavu zangu tu miye.
 
***
Vp MAMMAMIA dogo anasemaje ? Huyu jamaa kapata au katupeleka chaka?!
Sisi wengine hatusumbuagi vichwa tunasubiri jibu sahihi tu.
 
Good thinking, Lakini moja ambayo ipo kila mwaka sio witiri ni tasa
 
Mh, nilitegemea kucheka lakini badala yake nimejikuta nikiumia kichwa...
 
Good thinking, Lakini moja ambayo ipo kila mwaka sio witiri ni tasa

Dah! Bro 1 ni WITIRI pia ni SHUFWA so jamaa nadhani yuko right until proven wrong!
 
Kichwa loading.....

Netwrk about 2 fail.......

Netwrk problem.......

Loadining failed;(
 
***
Vp MAMMAMIA dogo anasemaje ? Huyu jamaa kapata au katupeleka chaka?!
Sisi wengine hatusumbuagi vichwa tunasubiri jibu sahihi tu.
AMEPATA MKUU.

You are correct WAHEED and well explained. HONGERA SANA!
:violin::clap2::A S thumbs_up::closed_2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…