Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Sep 18, 2017 #1 Karibu. Nguo inauzwa 10000/= huna pesa ukaenda kukopa kwa dada 5000/= na kaka 5000/= jumla 10000/= Ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9700/= ukabakiwa na 300/= Halafu ukaamua kupunguza deni, kaka yako ukampa 100/= na dada ukampa 100/= ukabaki na 100/= Jumla kaka akawa anakudai 4900/= na dada 4900/= ukijumlisha unapata 9800/= ukiongeza na 100/= yako uliyobaki nayo unapata 9900/= Je?hiyo 100/= iko wapi?
Karibu. Nguo inauzwa 10000/= huna pesa ukaenda kukopa kwa dada 5000/= na kaka 5000/= jumla 10000/= Ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9700/= ukabakiwa na 300/= Halafu ukaamua kupunguza deni, kaka yako ukampa 100/= na dada ukampa 100/= ukabaki na 100/= Jumla kaka akawa anakudai 4900/= na dada 4900/= ukijumlisha unapata 9800/= ukiongeza na 100/= yako uliyobaki nayo unapata 9900/= Je?hiyo 100/= iko wapi?
Emmanuel_Adam14 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2015 Posts 670 Reaction score 745 Sep 18, 2017 #2 We jibu unalijua ??
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Sep 18, 2017 Thread starter #3 E.14 said: We jibu unalijua ?? Click to expand... Hapana
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 724 Sep 18, 2017 #4 assume umepata 10000 ukaamua kulipa deni 9800 utabak na 200 jumlisha na 100 uliyobak nayo unapata 300,,,,,unaposama 4900+4900=9800 hili ni deni hupaswi kulichanganya na 100 uliyonayo mkononi,,,, uwe mwelewa acha kuleta mahesabu ya JUHA. .....
assume umepata 10000 ukaamua kulipa deni 9800 utabak na 200 jumlisha na 100 uliyobak nayo unapata 300,,,,,unaposama 4900+4900=9800 hili ni deni hupaswi kulichanganya na 100 uliyonayo mkononi,,,, uwe mwelewa acha kuleta mahesabu ya JUHA. .....
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,489 Sep 18, 2017 #5 Dx and Rx said: Jumla kaka akawa anakudai 4900/= na dada 4900/= ukijumlisha unapata 9800/= ukiongeza na 100/= yako uliyobaki nayo unapata 9900/= Je?hiyo 100/= iko wapi? Click to expand... hapo ulipo jumlisha deni na namba nzima ndo ulipo haribu
Dx and Rx said: Jumla kaka akawa anakudai 4900/= na dada 4900/= ukijumlisha unapata 9800/= ukiongeza na 100/= yako uliyobaki nayo unapata 9900/= Je?hiyo 100/= iko wapi? Click to expand... hapo ulipo jumlisha deni na namba nzima ndo ulipo haribu
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,105 Sep 18, 2017 #6 Nitaomba mwenye jibu anitag nimeshindwa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,175 Reaction score 72,244 Sep 18, 2017 #7 SODOKA said: assume umepata 10000 ukaamua kulipa deni 9800 utabak na 200 jumlisha na 100 uliyobak nayo unapata 300,,,,,unaposama 4900+4900=9800 hili ni deni hupaswi kulichanganya na 100 uliyonayo mkononi,,,, uwe mwelewa acha kuleta mahesabu ya ****. ..... Click to expand... kweli mkuu deni hulichanganyi na 100 uliyobaki nayo
SODOKA said: assume umepata 10000 ukaamua kulipa deni 9800 utabak na 200 jumlisha na 100 uliyobak nayo unapata 300,,,,,unaposama 4900+4900=9800 hili ni deni hupaswi kulichanganya na 100 uliyonayo mkononi,,,, uwe mwelewa acha kuleta mahesabu ya ****. ..... Click to expand... kweli mkuu deni hulichanganyi na 100 uliyobaki nayo