Poleni na kazi wakuu!!
Hapa kuna chemsha bongo
Nilipewa sumu nimwekee paka!!
Nikaifungua nikaishika kwa mikono kisha nikaweka kwenye sahani nilipomaliza nikaidunga vizuri kwenda kuihifadhi! Kisha nikaenda bombani nikafungua koki nikanawa mikono vizuri tena kwa sabuni kisha nikafunga koki nikaenda kula ugali!!pale pale tumbo likaanza kuuma nimeenda kupima doctory kasema nimekula sumu!!!
Hapa swali ni je!!! Sumu ilitoka wapi!!