Freelancer Wakala JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 1,193 Reaction score 828 Mar 16, 2016 #1 CHEMSHA BONGO. Mbele ya bata kuna bata. Na nyuma ya bata kuna bata. Je, kuna bata wangapi? A.1 B.2. [ ] C.3 Nawe unaweza kutiririka na Chemsha Bongo yako hapa.
CHEMSHA BONGO. Mbele ya bata kuna bata. Na nyuma ya bata kuna bata. Je, kuna bata wangapi? A.1 B.2. [ ] C.3 Nawe unaweza kutiririka na Chemsha Bongo yako hapa.