Chemsha bongo yangu ya leo jamani

Chemsha bongo yangu ya leo jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Hii ni kitu gani watu wa Pwani? Ngalawa, Mashuwa, Boti,jahazi, Mtumbwi?

417924_10200104321794721_1664010465_n.jpg
 
Mzizi hiyo inaitwa NGALAWA, na hizo fimbo zilizowekwa hapo juu zinaitwa pondo kazi yake ni kusukuma chombo hicho kinapokua katika kina kifupi cha maji. Pia naona katika kati kuna tundu nakumbuka linaitwa FOROMALI maalum kwa ajili ya kuwekea Tanga.
 
Hiyo ni meli ya titanic iliyozama kipindi hujazaliwa imeibukia pwani
 
Mi nawasoma tu, kwetu Singida hakunaga...
 
Nawewe kumbe unatenbelea fukwe zetu? Hongera au umechukua tu picha some ware?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom