Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,330 33,139 Jun 10, 2013 #1 Huyu ni Marehemu Bruce Lee haya tena hizi picha zake ni film gani? na ya mwaka gani? Attachments Bruce lee.jpg 24.7 KB · Views: 198
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,905 Jun 10, 2013 #3 Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma
Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma
saudari JF-Expert Member Dec 26, 2012 2,655 2,779 Jun 10, 2013 #4 Mie ungeniwekea wakina Seba na Jimmy Mponda ndo ningekudadavulia bila chenga.
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Jun 11, 2013 #5 Bujibuji said: Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma Click to expand... Ha ha haaaaa hujambo fyatu?
Bujibuji said: Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma Click to expand... Ha ha haaaaa hujambo fyatu?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,905 Jun 11, 2013 #6 mwaJ said: Ha ha haaaaa hujambo fyatu? Click to expand... sijambo mwenzangu, mambo yanakuwaje?
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Jun 12, 2013 #7 Bujibuji said: sijambo mwenzangu, mambo yanakuwaje? Click to expand... Sijambo rafiki, mambo si mambo bora unipitie twend zetu "senema" ya Bruce Lee!
Bujibuji said: sijambo mwenzangu, mambo yanakuwaje? Click to expand... Sijambo rafiki, mambo si mambo bora unipitie twend zetu "senema" ya Bruce Lee!
MD25 JF-Expert Member Jan 28, 2012 3,074 1,018 Jun 12, 2013 #9 Bujibuji said: Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma Click to expand... Mkuu dodoma kuna Pweza?...
Bujibuji said: Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma Click to expand... Mkuu dodoma kuna Pweza?...