Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 154
- 286
hata wewe unaruhusiwa kujaribuNgoja watoto wa shule waje
Ili uthibitishe hilo toa jibu sahihi.Yaani umeitoa fesibuku ukaja nayo huku.... Mi nikajua hata umelitunga wewe? Swali hilo tokea 2013 unalileta Leo
Kumbe hata AI zinakosea!Haya yalishapitwa na wakati sababu ya akili unde
Hivyo, ikiwa leo ni Jumamosi, basi kesho itakuwa Jumapili, na "jana" itakuwa Ijumaa. Hivyo, kama kesho ingekuwa jana, basi leo ingekuwa Ijumaa iliyopita.
Kwa hiyo, swali aliloulizwa na mwalimu linadhihirisha kwamba alikuwa akiuliza swali siku ya Jumamosi.
Kwa msaada wa ChatGPT..........
Khaaa hayo si majaribu kabisa.Habari za leo jf-members.....
naombeni majibu yenu,
Mwalimu aliuliza swali "laiti kesho ingekuwa jana basi leo ingekuwa ijumaa " je, mwalimu aliuliza swali siku gani?
Kumbe ka copy na kupaste.Yaani umeitoa fesibuku ukaja nayo huku.... Mi nikajua hata umelitunga wewe? Swali hilo tokea 2013 unalileta Leo
hivi shule zinafunguliwa lini?Habari za leo jf-members.....
naombeni majibu yenu,
Mwalimu aliuliza swali "laiti kesho ingekuwa jana basi leo ingekuwa ijumaa " je, mwalimu aliuliza swali siku gani?
ni jumatanoJumapili
utajuaje wakati wewe umejiunga jf 2023Hili swali lilikuwa humu mda mrefu kama sikosei ni 2013.