Afrodenz ndo nini lakini wengine tunawaza namna ya kutafuta hela wewe unauliza chemsha bongo jtatu yote hii
Na majibu yote mpaka sasa ni no aagggggggg
nakupa mji-Taliban
Afrodenz ndo nini lakini wengine tunawaza namna ya kutafuta hela wewe unauliza chemsha bongo jtatu yote hiiNa majibu yote mpaka sasa ni no aagggggggg nakupa mji-Taliban
Hahahahahahaha lolzWataja nika lipuliwe kabisa..Mmmhhhh siutaki..Kwa kweli nailaumu hii radio yangu..Maana nimeiwasha ndio kitu cha kwanza nilocho sikia Hahahaha lolz Samahani mami ka nimekukwaza