Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Basi kumbe hata wewe hujui!Hahahahaha babu We akili yako inaendaga mbali sana..Samahani babu hapana..
Shauri zako, we ngalia flaizi ya suruwale ujidanganye.....
Basi kumbe hata wewe hujui!Hahahahaha babu We akili yako inaendaga mbali sana..Samahani babu hapana..
Basi kumbe hata wewe hujui!
Shauri zako, we ngalia flaizi ya suruwale ujidanganye.....
Ivuga mpendwaSamahani kukutangaziaKwamba majibu yako yote ni " HAPANA"
Wanawake wanapenda mabusha sijawahi kuona........hivi Babu, wale wenye mabusha nao kuna haja ya,
kuangalia fraizi ya suruali zao?
zawadi nakubusu gently kwa dk 25We nawe chemsha bongo tupo redio wani hapa?!Jibu najua ila sitoi mpaka utangaze zawadi!
na wewe upo ndani ya hizo %40?Kumbuka is only 40%..sio wote..
Loh...bora nilale nje siku mbili!!!zawadi nakubusu gently kwa dk 25
Nimwachie nani wakati sijachekeshwa?!Mmmmh owkey....haya natoa jibu MACHO!Zawadi ni Chaguo la mshindi...umeacha kununa??