Asilimia 40 (40%) ya wasichana wanaangalia naKupenda ..Hiki ............ kabla ya kudate mwanaume..JE ni nini?? Waweza hisia mara nyingi upendavyo..All the best ...
hivi deep voice ni ipi ????? barry white?????? huyo jamaa wa boyz 2 men???????? na sisi wenye sauti kali mnatu define vipi?????????? sauti ya juu kama zitto kabwe?????????????
my dear deep voice tunayoionglea hapani kama sauti ya nne kanisani ..kama umewahi kusikia wanakwaya wakiimba ..kama hiyo ya kwako iliyoiongeleainaweza kuwa ya juu lakini ( nzito)(haitokeagi mara nyingi lakini)
....dah, mna mambo kweli nyie.
Haya, hao 60% wavutiwa na nini...maana kwa sauti nishafeli!
BTW, sauti mwakusudia ile kama mtu mwenye decibels kama kameza chura ama?
....dah, mna mambo kweli nyie.Haya, hao 60% wavutiwa na nini...maana kwa sauti nishafeli!BTW, sauti mwakusudia ile kama mtu mwenye decibels kama kameza chura ama?
....dah, mna mambo kweli nyie.
Haya, hao 60% wavutiwa na nini...maana kwa sauti nishafeli!
BTW, sauti mwakusudia ile kama mtu mwenye decibels kama kameza chura ama?