M Masiko W. M. Member Joined Mar 9, 2010 Posts 41 Reaction score 4 Mar 24, 2011 #21 ambili said: mlingayo wako unakasoro. unatakiwa uwe; y+y+y/2+y/4+1=100 where: y=idadi ya ndege Click to expand... This is the proper equestion for the problem.
ambili said: mlingayo wako unakasoro. unatakiwa uwe; y+y+y/2+y/4+1=100 where: y=idadi ya ndege Click to expand... This is the proper equestion for the problem.
N Nalonga JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 224 Reaction score 53 Mar 24, 2011 #22 SMU said: Nyingine naikumbuka kumbuka hii hapa: "Kangaroo ni mnyama aoenekae Australia, huweza kuruka umbali wa mita kumi na mbili. Mwanga anajitapa kuwa huweza kuruka theluthi ya umbali huo. Je, huo ni umbali gani?" Click to expand... Mkuu basi huyo mwanga anaweza kuruka Umbali wa mita nne...iwapo huyo kangaroo ni kweli ana ubabe wa kuruka mita kumi nambili...teheteheh
SMU said: Nyingine naikumbuka kumbuka hii hapa: "Kangaroo ni mnyama aoenekae Australia, huweza kuruka umbali wa mita kumi na mbili. Mwanga anajitapa kuwa huweza kuruka theluthi ya umbali huo. Je, huo ni umbali gani?" Click to expand... Mkuu basi huyo mwanga anaweza kuruka Umbali wa mita nne...iwapo huyo kangaroo ni kweli ana ubabe wa kuruka mita kumi nambili...teheteheh
Andrew john Senior Member Joined Mar 10, 2009 Posts 110 Reaction score 122 Mar 25, 2011 #23 x+x+x/2+x/4+1=100 2x+x/2+x/4=100-1 2x+x/2+x/4=99 tafuta KKS ambacho ni 4 then gawany na kuzidisha utapata 11x=396 then 11x/11=396/11 x=36 x=ndege
x+x+x/2+x/4+1=100 2x+x/2+x/4=100-1 2x+x/2+x/4=99 tafuta KKS ambacho ni 4 then gawany na kuzidisha utapata 11x=396 then 11x/11=396/11 x=36 x=ndege