Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,202 Reaction score 7,028 Sep 2, 2017 #1 Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
washwa washwa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 1,613 Reaction score 728 Sep 2, 2017 #2 Miaka 67 Sent using Jamii Forums mobile app
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,639 Sep 2, 2017 #3 Atakuwa na nusu ya miaka yako.
J Jofkid New Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1 Reaction score 3 Sep 2, 2017 #4 Ana miaka 67 Sent using Jamii Forums mobile app
L lughovanyamlela New Member Joined Jan 29, 2017 Posts 4 Reaction score 2 Sep 4, 2017 #6 67 Sent using Jamii Forums mobile app
Hechinodemata JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,487 Reaction score 3,356 Sep 4, 2017 #7 35
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Sep 5, 2017 #8 Powder said: Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani??? Click to expand... Hapo inategemea, Maana kwa muda wote huo toka miaka 6-70 (imepita miaka 64) huyo dada yako bado yuko hai tu Mungu hajamchukua??
Powder said: Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani??? Click to expand... Hapo inategemea, Maana kwa muda wote huo toka miaka 6-70 (imepita miaka 64) huyo dada yako bado yuko hai tu Mungu hajamchukua??
B Blue Iron JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 497 Reaction score 301 Sep 8, 2017 #10 Powder said: Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani??? Click to expand... ulipokuwa na miaka 6 yeye alikuwa na 3 kwa kuwa tofauti yenu ni 3 ukiwa na 70 yeye atakuwa na 67 kama yu hai
Powder said: Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani??? Click to expand... ulipokuwa na miaka 6 yeye alikuwa na 3 kwa kuwa tofauti yenu ni 3 ukiwa na 70 yeye atakuwa na 67 kama yu hai
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,705 Sep 8, 2017 #11 sarah6 said: 67 Click to expand... Clarity ajambo..!
sarah6 Senior Member Joined May 24, 2013 Posts 134 Reaction score 57 Sep 12, 2017 #12 bigmind said: Clarity ajambo..! Click to expand... wa wapi tena?
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,705 Sep 12, 2017 #13 sarah6 said: wa wapi tena? Click to expand... Mwanao..!
sarah6 Senior Member Joined May 24, 2013 Posts 134 Reaction score 57 Sep 12, 2017 #14 bigmind said: Mwanao..! Click to expand... mmh hapana simfahamu
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,705 Sep 12, 2017 #15 sarah6 said: mmh hapana simfahamu Click to expand... Sure!
REDEEMER. JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 8,918 Reaction score 14,894 Sep 24, 2017 #16 Dada yako alafu ana nusu ya miaka yako? Huyo ni mdogo wako.
Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,181 Reaction score 1,494 Jan 23, 2018 #17 Shark said: Hapo inategemea, Maana kwa muda wote huo toka miaka 6-70 (imepita miaka 64) huyo dada yako bado yuko hai tu Mungu hajamchukua?? Click to expand...
Shark said: Hapo inategemea, Maana kwa muda wote huo toka miaka 6-70 (imepita miaka 64) huyo dada yako bado yuko hai tu Mungu hajamchukua?? Click to expand...
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,368 Oct 17, 2018 #18 Powder said: Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani??? Click to expand... Ningejibu ila tatizo sipendi kuingilia mambo ya familia za watu
Powder said: Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani??? Click to expand... Ningejibu ila tatizo sipendi kuingilia mambo ya familia za watu
Dominic Toretto Member Joined Apr 7, 2018 Posts 99 Reaction score 83 Oct 21, 2018 #19 Galapagosi said: Atakuwa na nusu ya miaka yako. Click to expand... hahahahaaa
makilo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 2,676 Reaction score 5,378 Oct 26, 2018 #20 huyo dada yako anapambana na islaer kila siku