Jibu ni 28 boss achana na hizo wrong za mtoa mada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkipata jibu unitag tafadhali.
Jibu ni 28 boss achana na hizo wrong za mtoa mada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema anatoa vocha ya buku tanoKwanza ukipatia unapewa nini? Maana tunahangaika ukute hakuna chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya niangue kicheko kwa nguvuUkute sungura kameza vingine sisi tunahangaika na alivyoshika.