hongera mkuu, ni lilondo, kabla hujatiririka na slopes za lukumburu kwenda songea, kamata like
Nilishawahi kununua magimbi hapo...ila nilisahau jina!!!
Asante kwa kubusti memory card yangu....
Huyo mtoto wa pili kutoka kulia nimempenda bure.
Kitu natural.
ha ha ila ujue mke wa mtu ni thumu huyo ni mke wa mtu kijijini hapo