Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,400
- 138,655
- Thread starter
-
- #161
Hahaha comrade naona umeamua kabisa kuiita hiyo English - English Dictionary...... Where the hell is Blueray when I need him the most.
Hata mi simuelewi mwenye uzi kimyaa wala kiingreza hakina ubaya kuletwaa humu,lakin mi nikamuambia mtu mwingine mwenye uzi heeeeee yakadandiaa mengine kwa mbelee ndio uonapo hapaaaa
Basi rafiki achana na mambo yaso na tija. Mtatukanana wee mwishowe utaishia kuwahisi na wengine ambao hata hawahusiki kabisa na hayo matusi. Nimelala, nimeamka nyie bado mnatukanana tu.
Just let it slide.
Sio "wataji'jj" au "wataji'dabojei"???
Kwangu hii mpya!!!
Hahhhahahaha aisee eti umelala umeamka lakin bado si unajua wabongo hua hatuishiwi maneno nishaachana nae rafikii umeamka poaa
Poa kabisa tena mwenye nishati ya kutosha kabisa kupiga boksi kama sina akili nzuri.
Binamuuuuu. Tule ujana. Hapo ulipo keyboard unaiona kweli?
Ah Comrade acha tu bana. Kitu ukionacho wewe si kigumu kumbe kwa mwingine ni pig Latin. Maisha ndivyo yalivyo lakini.
Halafu hii mada ni ya kemsitri sasa vita sijui imetokea wapi tena. Kaazi kweli kweli.
Hayaa raisi wa wabeba boksii piga boksiiii kakaa acha sie tupige vumbi huku linatuuaa
Hii sredi ilipoibuliwa upya jana ilikuwa na kurasa mbili (au niseme moja na nusu). Jana baada ya kufukuliwa ikafikia kurasa sita.
Nimeenda kulala na kuiacha ikiwa bado na hizo kurasa sita. Nimeamka, nimeoga, nimekula staftahi, nikawasha kipakatalishi changu, hamadi, sredi imefikisha kurasa tisa!
Badala ya kujadili hoja watu wameigeuza uwanja wa mipasho, madongo, na vidole juu. Ama kweli al junun funun!!!!
Umeanzaa tena hahahahhhahhaaa! !!!!!anzisha upya basi tena upya hii thread yako!!!!!!
Nimeanza nini tena?
Nimekuambia anzisha upyaa tena thread!!!!
Kwa kutumia lugha gani? Kisukuma? Kiswahili? Kimvita? au Kiingereza?
It damn sure did.
On the very first page, contribution was done in queen's language. My English is the so called broken, can I also chip in?
a nice pice