Chemist anaweza kuwa Pharmaceutical technician?

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
644
Reaction score
582
Habarin za muda huu..naombeni kuuliza iv mtu anayesoma bsc in chemistry anaweza kuwa Pharmaceutical technician? Kwasabab wanaosoma hii course pia wanasoma pharmaceutical chemistry au medicinal chemistry.

#nawasilisha
medchem1-161107115839-thumbnail-4.jpg
 
Habarin za muda huu..naombeni kuuliza iv mtu anayesoma bsc in chemistry anaweza kuwa Pharmaceutical technician? Kwasabab wanaosoma hii course pia wanasoma pharmaceutical chemistry au medicinal chemistry.

#nawasilishaView attachment 2199931
Mmh kwa bongo sidhani.
But kama unadegree ya chemistry unaweza kuitumia kama equivalent qualification kusoma bachelor of pharmacy. So mwisho wa siku utakuwa na bachelor mbili. Bachelor of science in chemistry na bachelor of pharamacy.
 
Anh saw
 
Hakuna post graduate ya hio kozi?
Mbona atakuwa anasoma vitu vinavyofanana mara mbili.
Au asome short course kuliko kurudia miaka 3 .
Si bora asome master ya kitu kingine kuliko kurudia digrii, yani ni matumizi mabaya ya muda, umri wenye mfupi. Ila duniani tunatofautiana mtazamo!
 
Hakuna post graduate ya hio kozi?
Hapa sifahamu mzee labda atafute TCU guidebook aipitie vizuri anaweza ng'amua kitu. Au aende TCU akaulize.

Hapana mkuu hayafanani, ni kidogo sana na ni vitopic tuu. Ndio maana kuna vyuo vingi tuu wameweka hiyo bachelor of chemistry kama sifa ya kuingilia kusoma kozi zingine za afya (bachelor) kama ukitaka hadi MD.

Nionavyo yote ni sahihi tu mkuu inategemea na malengo ya mtu na nini anataka
 
Ujue kuna malengo mabovu, low vision huwa inamfanya mtu aone yupo sawa(blind) , ila kuna kipindi tu ataona alivyopuyanga.
Umri hakusubiri isitoshe watu wengi wamecheleweshwa kuanza shule bado ujicheleweshe na wewe mwenyewe !
Kila kitu kinatakiwa kifanyike kwa umri wake, ukikosea step mmoja tu umeliwa na huwezi kufidia.

Fikiria unaweza kufidia kuchelewa kupata mtoto ?
Unajua kuna kitu kinaitwa career choice. Unapo tanga tanga maana wewe unakuwa mtu asie jitambua,asie na mdimamo,asie na maono.
Kwa hio usihalalishe vitu viliivyo kinyume.
Ndio maana kuna watalaamu wa kutoa ushauri kwa kila jambo. Kwa nini mtu mwenye digrii ufanye maamuzi ya hovyo?
 
Mkuu naona una mambo mengi aisee.

Labda fatilia vizuri nilichomjibu jamaa kwa ninachokifahamu kuhusu alichouliza nilimjibu mdau huko juu kadiri alivyouliza.

Na nimemjibu kitu ambacho ninauzoefu nacho, maana hayo maamuzi unayoyaita ya hovyo ni moja ya maamuzi niliyoyafanya mimi mwenyewe 2019 na mpaka leo sijutii.

Elewa watu hatufanani kwa mambo mengi sana kuanzia background zetu sasa skuelewi unachonilaumu hapa ni kitu gani mzee.
 
Mtoa mada mi nakushauri ujifunze kuitumia hio digrii yako kujiajiri. Chagua eneo moja wekeza hapo.
Utaenda famacy napo utakuta yale yale. Kwanza farmacy ilikuwa zamani siku hizi kila kona vyuo vya farmacy.
Mimi nina digrii ya ualimu, mwanzoni niliona kama nipotea njia vile nikawaza kubadili fani. Baada ya kutafakari kwa kina jibu nililopata ni kwamba hakuna elimu mbaya duniani, kila elimu unaweza kuifanyia kazi ukipenda ila ukiichukia nayo inakuchukia.
Siku hizi naona fursa nyingi sana ktk sekta ya elimu mpaka wasio wasomi wa ualimu wananufaika na sekta hii. Fursa ni wewe unavyozitafuta na kuzitengeneza.
Chemistry ina fursa nhingi sana moaka ufungue jicho lako ndio utaziona vinginevyo utaona giza tu ila huko mtaani watu wnapiga pesa hata hawana certificate ya chemistry.
Mkuu nimekupa ushauri wa bure.
 
Mkuu naona una mambo mengi aisee.

Labda fatilia vizuri nilichomjibu jamaa kwa ninachokifahamu kuhusu alichouliza nilimjibu mdau huko juu kadiri alivyouliza.

Na nimemjibu kitu ambacho ninauzoefu nacho, maana hayo maamuzi unayoyaita ya hovyo ni moja ya maamuzi niliyoyafanya mimi mwenyewe 2019 na mpaka leo sijutii.

Elewa watu hatufanani kwa mambo mengi sana kuanzia background zetu sasa skuelewi unachonilaumu hapa ni kitu gani mzee.
Kurudia digrii ni maamuzi ya hovyo. Yani ngazi ya digrii unadumu miaka 6/7 kukaa tu madarasani ili uje uajiliwe hodpitali kuratibu dawa !
Horizontal learning is totaly prohibited and i discourage it ! Vinginevyo uwe hujui thamani ya muda.
Nibora nimshauri akasome master sio digrii tena.
Ujue kuna umti wa kufanya kazi duniani.
Ntakuunga mkono kama jamaa kaajiliwa au anaendesha familia yake vizuri, ana biashara zilizo simama vizuri, hapo soma tu miaka yote maana hakuna unachopoteza ila huna familia unaenda kurudia kusoma ni matumizi mabaya ya muda.
 
Haya sawa mzee
 
Hakuna post graduate ya hio kozi?
Mbona atakuwa anasoma vitu vinavyofanana mara mbili.
Au asome short course kuliko kurudia miaka 3 .
Si bora asome master ya kitu kingine kuliko kurudia digrii, yani ni matumizi mabaya ya muda, umri wenye mfupi. Ila duniani tunatofautiana mtazamo!
Bsc chemistry haifanani hata kidogo na Mambo ya madawa😂😂

Courses zenyewe, analytical chemistry, organic spectroscopy, organic chemistry, instrumental chemistry, general chemistry, thermodynamics, chemical kinetics and equilibrium, practicals uchwara za kuextract caffeine kwenye majani ya chai, +++ nyinginezo

In such haiwezekani hata kidogo, hiyo course yenyewe akimaliza ukimpeleka kiwandani Kama Quality controller hawezi kufanya kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom