Hata kama Chelsea atashinda lakini bado nitabaki kuamini Lampard si kocha bora kama Allegri, Lampard anatujengea tu vidonda vya moyo ktk kuvumilia maumivu ambavyo mashabiki wa Chelsea huwa hatuna huo uwezo kama mashabiki wa Arsenal.kweli sisi vibonde.... Lampard afukuzwe
Nimekupa 'Like' Mkuu. Umeona notification?Leo Manchester United tunakalishwa.
Nataka chelsea hii game washinde, man u inatakiwa tupigwe leo.Napendekeza Lampard afukuzwe atue Allegri haraka sana kabla ya timu janja kumuwahi huyo kocha.
Drw ft 0-0/1-1Chelsea akicheza vizuri kwa morali na Lampard akiwaweka wachezaji sehemu zao sahihi kama inavyotakiwa wacheze bila ya kuwabadilishia hakika tutashinda.
NB
Chelsea haitashinda ikiwa itacheza utopolo kama iliocheza dhidi ya Sevilla.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
MMMENIELEWAA EEHDrw ft 0-0/1-1