kibaWaKitaa
Member
- Apr 26, 2021
- 26
- 56
Weka icho kibao hapa
[emoji23][emoji23]watu wanaimba jamanKali sana kiba kanikosha kipande alichoimba kinyakyusa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa Ina Views ngapi Yutyubu??Kwakweli ili ni goma na nusu nmeckiliza mara 1 tu na kuupa s rate ya 9.9/10 ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ule ni ubunifu tu ...usisahau hii ni sanaaKumbe ni wimbo na sio ndoa kweli? Khaaaaah