ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Sep 1, 2012 #2 mna wakati mgumu wanawake hasa mnapo tusubiri kwa hamuu BJ hatari mwanamke!!!!
Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,331 Sep 2, 2012 #3 BelindaJacob said: Click to expand... Na kweli huwa wake wanawakumbukaga waume zao visoi! Hivi kweli mke awe na mume kama Malaria Sugu ataacha kumkumbuka kweli kama alikuwa anafuatilia post za udini hapa jf?! Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums
BelindaJacob said: Click to expand... Na kweli huwa wake wanawakumbukaga waume zao visoi! Hivi kweli mke awe na mume kama Malaria Sugu ataacha kumkumbuka kweli kama alikuwa anafuatilia post za udini hapa jf?! Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Sep 2, 2012 #4 Hii nimeipenda! Imenikumbusha enzi zangu bado nalamba !
Obi JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 374 Reaction score 79 Sep 2, 2012 #5 Hahaaaahaaaa. Kwani asipotafuna bia mkewe hatamkumbuka?
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Sep 2, 2012 #6 Akukumbuke ama asihuzunike? Kuna mwanaume anafariki mkewe na wanae wanakuwa relieved!