MakinikiA JF-Expert Member Jun 7, 2017 5,011 6,542 May 1, 2019 #1 Kuna huyu anayepambana na Maduro huko venezuera anaitwa Juan Magaifo na Baraka Obama Attachments images.jpeg 9.5 KB · Views: 107 GUAIDO.jpg 15.1 KB · Views: 99
C Carica_papaya JF-Expert Member Nov 22, 2018 758 1,232 May 1, 2019 #2 Una ugonjwa!!! Kaonane na Specialist wa Macho.
Mgugu JF-Expert Member Jul 1, 2015 2,165 4,398 May 1, 2019 #3 Je macho yako yameona kama mimiiiii? Mkuu makinikia macho yako yatakua na matege.
GREENER JF-Expert Member Aug 10, 2015 641 2,129 May 1, 2019 #4 Labda kama unamaanisha suti zao zimefanana
kelao JF-Expert Member Sep 24, 2012 8,132 5,785 May 1, 2019 #6 Yaani hao wanafanana? au mi sijaelewa ulichoandika
Kimwerymdodo5 JF-Expert Member Feb 10, 2019 2,040 3,286 May 1, 2019 #8 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣na mishahara haipandi ng'oo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣endeleeni tu kuwa na stress.
Nchi Kavu JF-Expert Member Sep 11, 2010 4,271 2,401 May 1, 2019 #9 Wengi hamjui kufananisha. Hao jamaa wanafanana
nipekidogo JF-Expert Member Apr 17, 2019 1,587 3,026 May 1, 2019 #11 Ubongo wako na macho yako havina mawasiliano mazuri hivyo unashindwa kutofautisha, kamuone specialist mapema
Ubongo wako na macho yako havina mawasiliano mazuri hivyo unashindwa kutofautisha, kamuone specialist mapema
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,797 May 1, 2019 #12 MakinikiA said: Kuna huyu anayepambana na Maduro huko venezuera anaitwa Juan Magaifo na Baraka Obama Click to expand... Ila obama uso mpana kidogo
MakinikiA said: Kuna huyu anayepambana na Maduro huko venezuera anaitwa Juan Magaifo na Baraka Obama Click to expand... Ila obama uso mpana kidogo
hewizet JF-Expert Member Mar 17, 2013 2,399 1,494 May 1, 2019 #13 mleta uzi anakula sana mapanki ya samaki
Victor wa happy JF-Expert Member Apr 24, 2013 11,660 11,641 May 1, 2019 #14 Acha kunywa pombe za kienyeji
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Feb 16, 2019 818 1,484 May 16, 2019 #16 MKWEPA KODI said: Huu unaitwa ulemavu wa macho Click to expand... Mkuu huu sio ugonjwa Kabisa... Mi nahisi itakuwa wamemu edit jamaa macho🏃🏃
MKWEPA KODI said: Huu unaitwa ulemavu wa macho Click to expand... Mkuu huu sio ugonjwa Kabisa... Mi nahisi itakuwa wamemu edit jamaa macho🏃🏃
Billie JF-Expert Member Aug 13, 2011 12,738 19,893 May 16, 2019 #19 Kimwerymdodo5 said: na mishahara haipandi ng'oo.endeleeni tu kuwa na stress. Click to expand...
shushushu VIP JF-Expert Member Jul 24, 2016 4,806 4,304 May 16, 2019 #20 Bora hata ungemfananisha msaniii darassa cmg na paul nonga mchezaji wa lipuli