Cheki mdada huyu

Weka mshale katikati ya hiyo picha(mtu),kisha double click.
 
Wengi wao wamevurugwa na wengi wanaugua UTI hao,mwanaume linda pingili yako.
 
Picha ya mpenzi wangu, nani amekupa ruhusa ya kuipost hapa???
 
Kitu cha hivi ndio umeshakisomesha kuchukua jumla unaenda nae home kumtambulisha mama anakwambia hatumtaki sio kabila letu, hapo utajiona una bahati mbaya kama rasimu ya serikali tatu.
 
watuuuu humu dah...wengine watu wazima na akili zao wanafanya ya utoto kama sisi dah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…