Cheki mabango ya matangazo ya makanisa ya Nigeria.

Unahasira na mmama wa watu tunazungumzia mabango ya nigeria ukitaka anzisha uzi wakumhusu mama huyo
 
Dini zimekuwa biashara.
Dini kuwa biashara ni sawa! Ukijua maana ya nini ndo utajua kuwa inawezekana ikawa biashara. Ila Wokovu / Ukristo hauwezi kuwa biashara hata siku moja. Simama katika ukweli daima.
 
mimi nimempenda yule wa congo anaewapulizia waumini dawa ya mende alafu wanazimia na kufa

hahaha!! tusipotafuta hela tutamsingizia shetani vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…