Cheki kiuno hiki

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Jamani we acha tu !!!
 

Attachments

  • MKAO HUO WE ACHA TU.jpg
    MKAO HUO WE ACHA TU.jpg
    34.2 KB · Views: 1,929
Mbona hakuna cha ajabu mkuu au unamtafutia soko sista wako? Hupati kitu, halipi kabisa
 
very beautiful...sio wote wenye figure na uwezo wa kumaintain figure ,ukimpata wa hivyo shukuru mungu...mwambie aendelee kujitahidi kuikeep.
 
mbona naona amekonda hadi mbavu zinaonekan?, nadhani atakuwa kazidisha yale mambo yetu wadada ya kumaintain figures. but kapendeza, hongera zake
 



Amekonda mpaka mbavu zinaonekana kama anakwashakoo ? Cha ajabu nini hapo
mbona naona amekonda hadi mbavu zinaonekan?, nadhani atakuwa kazidisha yale mambo yetu wadada ya kumaintain figures. but kapendeza, hongera zake
 
Kiuno gani hicho bana. Hiyo taito imenifanya nikimbilie huku kumbe hamna lolote!:redfaces:
 
mbona hakuna cha ajabu mkuu au unamtafutia soko sista wako? hupati kitu, halipi kabisa

mh!mkuu mtoto ametulia sana, ndiyo maana wazungu wanasema "beauty is in the eyes of beholders"hapa tunapisha kwa kweli mkuu!!
 
Back
Top Bottom