Cheki Hii Njemba Baa

Cheki Hii Njemba Baa

Amchanganyie viroba viwili kwenye uji wa lishe alale fastaaa! Inaonekana iyo sehemu kuna baridi sana ili walale wapge viroba au valium watu waendelee na kaz za ujenzi wa taifa
 
hivi mtu awe mshenzi alafu umuiye mtiifuuu?????

sijaelewa unachojaribu kuzungumza UNCLE CHUAKACHARA

Nasema neno "mshenzi" liache, sio zuri kwa binti kama wewe pamoja na kuwa sikujui. lakini huwa naona post zako za sura njema.
 
ka vile namfahamuuuuuuuuuuuuuuuuuu anafanana na naniiiiiiiiii
 
sawa nimekuelewa

basi nakuita mpuuzi badala ya mshenzi

Mhhh!!!! Kwetu kuna hadithi huwa inasimuliwa hivi: Kuna kijana aliambiwa na wazee wa kijiji chake katika mkutano wa kijiji "acha kuwatukana watu wazima". Akawajibu akasema "Ni mbwa gani huyu ananifundisha hivyo" Ndiyo ya leo! Nitapenda kukuona siku moja!
 
This is serious issue. Ths guy anyanganywe huyu mtoto lazima achukuliwe hatua .
Zile tasisi za kutetea watoto waache double standard hatua zichukuliwe
 
Mhhh!!!! Kwetu kuna hadithi huwa inasimuliwa hivi: Kuna kijana aliambiwa na wazee wa kijiji chake katika mkutano wa kijiji "acha kuwatukana watu wazima". Akawajibu akasema "Ni mbwa gani huyu ananifundisha hivyo" Ndiyo ya leo! Nitapenda kukuona siku moja!

umecoment kabla sija edit hahaha

muombe ruhusa mod
 
ahaa....kuna vitoto vingine visumbufu sana.
Kama kanalilia na mama yake anachelewa huko saloon nifanyeje jamani....uzuri ni ngano tu hiyo wala sio sumu.
 
Back
Top Bottom