Flamingo wana miguu mirefu hawa wanaonekana tai wamenyeshewa na mvuaya kweli hayo!?...ina maana hao ni flamingo wanaopatikana ziwa natron!?
hata Mimi najua hivyo...Flamingo wana miguu mirefu hawa wanaonekana tai wamenyeshewa na mvua
[emoji27] [emoji28] [emoji27]
Inabidi hiyo chumvi ifanyiwe uchunguzi kujua kama haina madhara,maana si kwa kunyonyoka huko.