Cheki aibu hii

Naona dogo kagoma kabisaa. Anajitambua
 
Kuna mmoja pale naona kama anafungua taa badala ya kusukuma
 
police wametengeneza uhasama na raia kiasi kwamba ikitokea ajali raia wako radhi wamalizie kuwaua majerui to hell
 
Polisi bhana,hiyo gari ikitoka hapo watawachenjia hao watu waliotoa msaada,hallooo mmelilifua gali la polisi hayaaaa funga mashati wote kituoni...
 
not every cop is corrupted one..the stereotype is too intense......
 
Yaaninimejaribu kuvutahisia za maoni naona wote chadema pplsssssss powerrrrr
 
Mmbwa hawa nawaambia ukweli nimeona kwa ndugu dadayangu mamamkubwa MAMAMDOGO nakamyukohumu ujue sitoongea nawewe mpaka ufe mbafu!!!nilipata shida kazini nilipojuakuna ddyangu anacheo policekikubwa tu nikamwomba njoo nisaidie bibie akafanyadili sasa aliekuwa anafanyadili kwake m namletea samakikwandege kilawiki kilo mia!!mbwahuyi akamwambia jamaa aseme bilalakitano keesi aishii!!jamaa alaniita wemdogowangu huyuglory dadakokwelii nkamwambia mamake tokantoke namamangu akasema nyoka!!!memdaofisinikwenu ongeanasec officer malizanae atupigie tufutekesi banawe nikkaenda nikamsomeshayule baba innalilaj rajuun akasema a!anashangaa alienipeleka huko!!akapiga polisikesi ifutwe nawaambia hawanimbwa at a awenduguyakoo konyozao!!! Mchana Dada akapiga jamaa anasema mpelakitatu zitamtosha huku mpelelezi ashapigiwa nakesi imefutwa dadayezake nika!wekasehemu anasubiri pakitatuzangu mwisho nikampigia jioni acha ungese wewee mjinikula nanduguyoo!!!bosi aliesimamiakesi ninduguzaidiyawewe nikakata simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…