Lokaseven Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 147 Reaction score 19 Feb 7, 2015 Thread starter #21 Hawakawii kuwa fanya mapanya road
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,352 Reaction score 25,874 Feb 7, 2015 #22 Watanzania punguzeni chuki hawa ni watanzania wenzetu
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,639 Reaction score 1,799 Feb 7, 2015 #23 chuma cha mjerumani said: Watanzania punguzeni chuki hawa ni watanzania wenzetu Click to expand... Mkuu hao watu ukiingia anga zao na wakakudaka hutotaka hata kuwaona.Watu wana chuki maana yamewakuta.
chuma cha mjerumani said: Watanzania punguzeni chuki hawa ni watanzania wenzetu Click to expand... Mkuu hao watu ukiingia anga zao na wakakudaka hutotaka hata kuwaona.Watu wana chuki maana yamewakuta.
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,836 Reaction score 6,292 Feb 7, 2015 #24 Aibu gani sasa.?
kapyaru Senior Member Joined Jan 10, 2015 Posts 154 Reaction score 12 Feb 7, 2015 #25 Sio mishe kaka mbona haibu haipo changanua mada
Lokaseven Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 147 Reaction score 19 Feb 7, 2015 Thread starter #26 chuma cha mjerumani said: Watanzania punguzeni chuki hawa ni watanzania wenzetu Click to expand... Wewe hauja wahi kuteswa na hawa jamaa wanapiga virungu
chuma cha mjerumani said: Watanzania punguzeni chuki hawa ni watanzania wenzetu Click to expand... Wewe hauja wahi kuteswa na hawa jamaa wanapiga virungu
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,352 Reaction score 25,874 Feb 7, 2015 #27 Lokaseven said: Wewe hauja wahi kuteswa na hawa jamaa wanapiga virungu Click to expand... Mbona shetanii anakutesa lakini humchukii kama unavyochukia binadamu wenzako. Ukiingia kwenye 18 zao inamaanisha umevunja sheria.
Lokaseven said: Wewe hauja wahi kuteswa na hawa jamaa wanapiga virungu Click to expand... Mbona shetanii anakutesa lakini humchukii kama unavyochukia binadamu wenzako. Ukiingia kwenye 18 zao inamaanisha umevunja sheria.
Lokaseven Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 147 Reaction score 19 Feb 7, 2015 Thread starter #28 chuma cha mjerumani said: Mbona shetanii anakutesa lakini humchukii kama unavyochukia binadamu wenzako. Ukiingia kwenye 18 zao inamaanisha umevunja sheria. Click to expand... Na wenyewe wameingia kwenye 18 zetu
chuma cha mjerumani said: Mbona shetanii anakutesa lakini humchukii kama unavyochukia binadamu wenzako. Ukiingia kwenye 18 zao inamaanisha umevunja sheria. Click to expand... Na wenyewe wameingia kwenye 18 zetu
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Feb 7, 2015 #29 Kwani polisi na shetani wanatofauti gani