asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
nimepata uvivu kupitia hapa km imeshawahi kutolewa ,ikiwa hivyo basi ipotezee.
Pedejee mmoja alienda na mkewe
muziki, akapita binti mzuri akamsalimia,
mkewe akamuuliza ,Yule nani?
Akajibu Huyo nyumba ndogo yangu.
Mke akaja juu,Nataka talaka yangu.
Pedeshe akajibu, Powa ntakupa, lakini kumbuka safari za kwenda Uchina na
Dubai ndio zitakuwa basi tena, na ishu
za kwenda saluni mara mbili kwa wiki
utazikosa, sijui utakuwa unatumia gari
gani maana sitakuachia gari hata moja.
Mama kakaa kimya. Akapita binti mwingine, Pedeshe kamwambia
mkewe Huyo nyumba ndogo ya rafiki
yangu. Mke wa pedeshe
akasema,Mhhh huyu wala siyo mzuri
kama nyumba ndogo yetu!
muziki, akapita binti mzuri akamsalimia,
mkewe akamuuliza ,Yule nani?
Akajibu Huyo nyumba ndogo yangu.
Mke akaja juu,Nataka talaka yangu.
Pedeshe akajibu, Powa ntakupa, lakini kumbuka safari za kwenda Uchina na
Dubai ndio zitakuwa basi tena, na ishu
za kwenda saluni mara mbili kwa wiki
utazikosa, sijui utakuwa unatumia gari
gani maana sitakuachia gari hata moja.
Mama kakaa kimya. Akapita binti mwingine, Pedeshe kamwambia
mkewe Huyo nyumba ndogo ya rafiki
yangu. Mke wa pedeshe
akasema,Mhhh huyu wala siyo mzuri
kama nyumba ndogo yetu!