Cheka.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Nesi wa milembe alikwenda
kwa mgonjwa mmoja
akamkuta anaendisha gari
Nesi: " we zuzu unafanya nini?"
zuzu: "naendesha gari
nakwenda dar" nesi akaondoka zake.. Siku ya pili
akaingia tena akamkuta zuzu
kaacha kuendesha..
Nesi: "zuzu unaendeleaje?"
zuzu: "Safi ndo nimefika2
hapa dar". Nesi akasepa zake akaenda
room ya pili akamkuta kifutio ambaye ni rafiki wa zuzu
yupo kitandani anamasturbate
Nesi: "unafanya nini kifutio?"
kifutio: "ssshh kimya nimelala na mke
wa zuzu maana kasafiri!"
 
Raha sana kuwa na mazuzu kama hao hahahahha

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…