Cheka upasuke

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,804
Siku1 Papa Benedict XVI alitaka kufanya shopping,akamwambia dereva wake "niache niendeshe mimi,we kaa pembeni tu hapo". Kufika njiani Traffic akawasimamisha kuangalia vizuri ndani ya gari yule Traffic akakimbia kumwita mkuu wake. Mkuu nae aliangalia ndaniya gari akakimbia,yule traffic ikabidi amuulize mkuu wake mbona anakimbia? Mkuu akajibu kama Papa anamuendesha yule mtu basi yule mtu kama sio Yesu ni Mungu...
:lol:
 
Hahahahahaha! Sante kwa kunipa cha kulalia.
 
Sijacheka, kwani sijailewa kabisa.
 
Dah mkuu we hatari, nimecheka sana. Joke yako naipa namba 1 kwa mwezi huu.
 
kama mmeifanya kua dini yenu kwann msiiheshim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…