Cheka upasuke: Mchina na askari wa Zimbabwe

James Hungury

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
825
612
Wadau hamjambo,
KILA nchi na vituko vyake,NIKO Zimbabwe,nimesogea Jana toka south africa,kwa ujumla Zimbabwe ni nchi iliyooza sana,very corrupt ,
Police wa Zimbabwe very corrupt mno nadhan bora wetu wa tz..
Hebu oneni huyu mchina anavyozungushana na police wa huku...
English shida...sababu kubao....
DUUUH
TELEVISION NI MMOJA NCHI NZIMA...ZBS PEKEE,WAKAT TZ KIBAO,
CHA KUSHANGAZA ZAIDI HII NCHI GARI TAO YA KUTEMBELEA NI MERCEDES BENZ MODEL ZOTE,YAAN HAPA MARCEDZ BENZ NI SAWA NA VITS,
GARI EXPENSIVE NDO ZAO,
MENGI NITAWAJUZA...
Nawasilisha
 

Attachments

  • VID-20170223-WA0001.mp4
    4.7 MB · Views: 39
Back
Top Bottom