Cheka unenepe bwana ahaa

Cheka unenepe bwana ahaa

NancyM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
314
Reaction score
40
Cheka unenepe; Mlevi alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala ------ wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli duniani kuna watu matajiri, haya ------ si mazima kabisa wao wameyatupa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
manini hayo yalikuwa wazi?:biggrin:
 
Chimbuvu una akili sana wangu umejuaje

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi nahisi ni mlevi jike kwa hiyo si masaburi bali manyonyo!
 
Back
Top Bottom