Cheka na wewe

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna balaa!
Mama:Kulikoni?
Mtoto:Leo mwalim wa hesabu hakuja!
Kuskia hivo,mama akafurahi akijua mwanae anapenda shule!
Mama:Nitakutafutia mwalim wa hesabu akufundishe hapa nyumbani.
Mtoto:Hapana mama! Mwalim ambaye hajaja ndio huwa anauza ubuyu,leo tumeukosa...{akaanza kulia!}
 
Very nyc joke that reflect the reality of todays kids.
Nice joke I like it.
 
mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna balaa!
Mama:kulikoni?
Mtoto:leo mwalim wa hesabu hakuja!
Kuskia hivo,mama akafurahi akijua mwanae anapenda shule!
Mama:nitakutafutia mwalim wa hesabu akufundishe hapa nyumbani.
Mtoto:hapana mama! Mwalim ambaye hajaja ndio huwa anauza ubuyu,leo tumeukosa...{akaanza kulia!}

hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom