Cheka na dinazarde

Cheka na dinazarde

Unakumbuka wimbo wa Dr. Remmy Ongala aliokuwa akiusifia mji wa Mwanza,
Mwanza ooh Mwanza..kuna sehemu alikuwa akiimba Sukuma waaa!!....Sukuma waaa.....!!! badala ya kuimba Wasuk....waaa ulidhani kwa nini??
 
"Jamanii" nipo kwenye harusi , na
sasa umefika ule muda wa kujitambulisha makabila yetu,
lakini wamesema tujitambulishe kwa herufi nne za mwisho tu ili kuokoa "time",
mchaga amesha simama akasema
mimi- chaga.
mgogo mimi=gogo
mpare mimi=pare
mhaya mimi=haya
mhehe mimi=hehe
mjita mimi=jita
Dinazarde mimi ni MSUKUMA natetemeka hapa ikifika zamu yangu sijui itakuaje."""?????????:screwy::banghead::banghead::banghead:

hahahhaa, wewe usiumize kichwa sema tu "NNYO" halafu unakaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom