danganya.... kwani kuna anaekujua?"Jamanii" nipo kwenye harusi , na
sasa umefika ule muda wa kujitambulisha makabila yetu,
lakini wamesema tujitambulishe kwa herufi nne za mwisho tu ili kuokoa "time",
mchaga amesha simama akasema
mimi- chaga.
mgogo mimi=gogo
mpare mimi=pare
mhaya mimi=haya
mhehe mimi=hehe
mjita mimi=jita
Dinazarde mimi ni MSUKUMA natetemeka hapa ikifika zamu yangu sijui itakuaje."""?????????:screwy::banghead::banghead::banghead:
"Jamanii" nipo kwenye harusi , na

Sema mimi Msuk..
danganya.... kwani kuna anaekujua?
otherwise sema umeshikwa na kigugumizi! lol..