cheka kispos....

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
UKIPENDA hakuna anaeamini km unapenda, UKIUMIA hakuna anaehc maumivu yako, UKILIA hakuna anaethamini kilio chako, ila BANJA sasa uone!! kila mtu JICHO KWAKO!!!
 
Kuna baniani alikamatwa akikojoa njiani akapelekwa kortini akatozwa fine ya sh5000 mwenyewe akalipa sh10,000,alipoulizwa kwanini amelipa zaidi akasema ......ipo jamba kidogo...
 
Kbaka ampiga bubu roba,bubu kwa kujitetea akawa anapiga kelele "abaabaabaa "kbaka ili acjulikane kama anamkaba akawa anamalizia "prakatatumbaa"
tumbaa;
 
Jamaa alienda kijijini kuoa akamkuta dem mbichi chuchu sa 6 akaenda nae mjini baada ya mda akagundua dem ni bikra akaenda kijijini kutoa shukrani,wazee wakamwambia washukuru vijana wenzio kwani walikua wanakula kiboga tu!!
 
daktari mpenda mbwa alipewa taarifa ghafla kuna mgonjwa anahitajika kufanyiwa operesheni, dr akakurupuka mbio na mbwa wake mpaka thietre akaanza operesheni, katikati ya operesheni yule mbwa uzalendo ukamshinda akadokoa figo ya mgonjwa yule daktari akatahamaki akamvamia yule dogi pasua tumbo toa figo weka kwa mgonjwa. Alipopona na kuwa fiti mgonjwa yule akawa kila akipata haja ndogo lazima anyanyue mguu mithili ya mbwa afanyavyo!
 
mume akiwa hoi kitandani, pembeni ya kitanda kakaa mkewe akimtazama.

mume: kuna kitu nataka kujutia na kutubu kabla sijafa

mke: hakuna haja ya kufanya hivyo mume wangu

mume: hapana lazima nifanye hivyo mana nataka kufa kwa amani! nimetembea na dada, mama, pamoja na rafiki yako kipenzi..

mke: najua sasa pumzika uache sumu ifanye kazi...
 
Hahahahahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Ingalau huku na-enjoy, siyo kule kwenye jukwaa la siasa ambako
kila nikisoma najikuta nikiambulia kupata stress...
 
Hahahahahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Ingalau huku na-enjoy, siyo kule kwenye jukwaa la siasa ambako
kila nikisoma najikuta nikiambulia kupata stress...

Mkuu kule hakufai, unaweza ukalambwa ban maana kuna watu ni mabingwa wa kupandisha hasira za wenzao!
 
mume akiwa hoi kitandani, pembeni ya kitanda kakaa mkewe akimtazama.

mume: kuna kitu nataka kujutia na kutubu kabla sijafa

mke: hakuna haja ya kufanya hivyo mume wangu

mume: hapana lazima nifanye hivyo mana nataka kufa kwa amani! nimetembea na dada, mama, pamoja na rafiki yako kipenzi..

mke: najua sasa pumzika uache sumu ifanye kazi...
alaa....kumbe katiliwa sumu!
 
Back
Top Bottom