Cheka kidogo

Mwanamke unamuambia agizia chochote. Anajivunga vunga. Naagizia changu cha maana, unakidokoa, sasa ndiyo nini.

Duh!....una jazba na wanawake, ngoja nikuache inawezekana umelelewa na baba tu!
 
Na mimi nina hako katabia...ha ha ha sema mimi mjanja zaidi naagiza kuku yeye nyama choma za ng'ombe.
Ila zikiletwa naanza na zake narudi kwangu
 
Lakini mzee wa "Picha say all" hii ilikuwa anachukua ili amlishe siyo ajiongezee yeye asee!! mshanajr
 
Last edited by a moderator:
Lakini mzee wa "Picha say all" hii ilikuwa anachukua ili amlishe siyo ajiongezee yeye asee!! mshanajr

Hahahahaaaaaaa angemlisha za kwake basi kama ishara ya upendo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaa angemlisha za kwake basi kama ishara ya upendo mkuu
Wenzetu kwa kujifanya wamestaabika, huwa wanasema "every boby and it's own portion" nadhani ndiyo maana akaamua kutumia kile cha jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…