mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
*Unatumwa dukani ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1,000/= afu ww unaamua kupitia sehemu unanunua andazi la sh 100 ili ukanunue mafuta ya 900/=. Ukifika wanakouza mafuta unakuta wamefunga*.
Hapo ndo utatafuta mafuta mpaka phamacy









Hapo ndo utatafuta mafuta mpaka phamacy








