Cheka kidogo tu.

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
```Nimefika hapa kituo cha Polisi Kirumba nikafarijika sana baada ya kumkuta Askari Polisi hapa kaunta anasoma Biblia, nikajisikia fahari kuona anasoma neno la Mungu kituo cha Polisi. Nikamuuliza Afande "Ni nani alimuua Goliathi"? Akanijibu "Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anausika na Kesi za Mauaji"```🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijilazimishe kucheka

sent using samsung galaxy s8
 
```Nimefika hapa kituo cha Polisi Kirumba nikafarijika sana baada ya kumkuta Askari Polisi hapa kaunta anasoma Biblia, nikajisikia fahari kuona anasoma neno la Mungu kituo cha Polisi. Nikamuuliza Afande "Ni nani alimuua Goliathi"? Akanijibu "Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anausika na Kesi za Mauaji"```🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha
 
Back
Top Bottom