Cheka kidogo hapa

Cheka kidogo hapa

Meljons

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
3,105
Reaction score
1,410
Walikutana madoctor wa China,Ujerumani,Tz,. kuelezea mafanikio walioyafikia ktk nchi Zao. Dr wa Ujerumani akasema "kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medali 3 za dhahabu". Dr wa China akasema sisi kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea ya bandia sasa ni BONDIA maarufu sana dunian". Dr wa Tz akacheka kwa dharau akasema "hamjatufikia cc, kwetu alizaliwa mtoto hana kichwa tukamwekea boga sasahv ndo huyo anasoma ujumbe huu
 
Mwenyewe kabla sijasahau!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unaonekana umefaulu mtihani wa form 4 baada ya matokeo ya mara ya pili
 
Back
Top Bottom