cheka kidogo basi ihhhhhi

cheka kidogo basi ihhhhhi

mubaraka

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
31
Reaction score
3
kuna baba mmoja alinunua ka simu kake ka kichina akawa amekaa seblen ana test test milio kwa bahaati mbaya akajamba PWII
mtoto wake wa mwisho akasema Baba usiweke huo una harufu mbaya
 
Wacha wewe baba huwa hajambi mbele ya watoto huyo ni mtoto ndiye aliyetoa ushuzi
 
Jaman mi nmelala naona nouma, nmecheka hadi kichwa kimeniuma!Duh'
 
Back
Top Bottom